Juma Nature akiwapagawisha mashabiki.
USIKU wa maadhimisho ya kuanza kwa Mwaka Mpya wa 2013, ulishuhudia burudani ya aina yake katika Ukumbi wa wa maraha wa Dar Live, ulioko Mbagala, jijini Dar es Salaam, ambapo wasanii kadhaa wa muziki wa kizazi kipya walitoa burudani ya kufa mtu ukumbini humo. Wasanii ambao waliwafanya mashabiki wasitulie katika viti vyao, ni wakongwe Profesa Jay, Inspekta Haroun, Juma Nature pamoja na wasanii wanaokuja juu katika fani hiyo, ambao ni pamoja na Linex na Stamina, huku bendi ya African Star, ‘Twanga Pepeta’, wakiwapindisha migongo mashabiki hao. (Picha zote na Issa Mnally na Richard Bukos/ GPL)
Mkongwe Profesa Jay, akiwapelekesha puta mashabiki.
Stamina akionyesha anavyotawala jukwaa.
Linex akiwapagawisha mashabiki.
Mkongwe Luteni Kalama wa Gangwe Mob, wakifanya vitu vyao.
Inspekta Haroun akikamua jukwaani.
Wanamuziki wa Twanga Pepeta wakiwajibika jukwaani.
KR ‘Mulla’, akifanya vitu vyake.
Inspekta Haroun akiwa na mkewe jukwaani.
Umati wa mashabiki ukiserebuka.
Stamina akikamua.

Juma Nature akiserebuka.
Linex akiwapa hi, mashabiki wake.
Profesa Jay, akiwa na Linex katika picha ya pamoja.
Prefesa Jay, akizidi kuwapa raha mashabiki.
Mmoja wa mashabiki akipata kilaji.
Luteni Kalama akiwa na shemeji yake.
Kundi zima la Gangwe Mob, likiwapagawisha mashabiki.
Juma Nature akiwaimbisha mashabiki.
No comments:
Post a Comment