Waombolezaji mbalimbali, wakiwemo waigizaji wa filamu nchini, 'Bongo Movie', wakiwasili Tabata Bima, nyumbani kwa marehemu Juma Kilowoko 'SAJUKI', aliyefariki leo asubuhi, Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), wodi ya Mwaisela, ambako alikuwa amelazwa kwa ajili ya matibabu. Hata hivyo, bado taarifa rasmi za mazishi yake, mwigizaji huyo, hazijatolewa na mwili wa marehemu umehifadhiwa katika hospitali hiyo.
 |
Hapa ni baadhi ya wasanii na wananchi mbalimbali |
 |
Waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Sajuki, Tabata Bima |
 |
Waombolezaji wakisubiri taarifa za mazishi pia kuwaliwaza wafiwa nyumbani hapo |
 |
Baadhi ya waombolezaji wakiwa wamekaa nyumbani kwa marehemu Sajuki kusubiri hatua zitakazofuata. (Picha zote kwa hisani ya Fullshangwe blog) |
 |
Baadhi ya wasanii wa Filamu wakiwa katika msiba huo |


No comments:
Post a Comment