Maofisa wa Polisi wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Mrakibu Mwandamizi wa Polisi EX SSP Hawa Luzy, aliyefia Darfur Sudan Kaskazini, alipokuwa amekwenda kwa ajili shughuli za ulinzi wa amani katika jimbo hilo. Ofisa huyo, alizikwa jana katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam. (Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)
Askari wa Kikosi cha kutuliza ghasia (FFU), wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Mrakibu Mwandamizi wa Polisi, EX SSP Hawa Luzy, aliyefia Darfur Sudan Kaskazini, alikokuwa kwa ajili shughuli za ulinzi wa amani katika jimbo hilo. Ofisa huyo alizikwa jana katika makaburi ya Kisutu jijini kwa heshima zote za kijeshi.
No comments:
Post a Comment