TANGAZO


Saturday, January 5, 2013

Kumradhi wadau, samahani kwa kupotea kwa muda blogu hii

Mkurugenzi Mwendeshaji, Kassim Mbarouk, ninapenda kuwaomba radhi wadau wote wa blogu hii ya www.bayana.blogspot.com kwa kutokuwa hewani kwa muda. Hii ilitokana na matatizo ya kiufundi kidogo, lakini juhudi zimefanyika na kuyakabili kwa haraka sana na kuweza kuirejesha katika hali yake ya kawaida. Tutaendelea kuwaletea habari na matukio mbalimbali ya hapa nyumbani na pia Kimataifa kama kawaida. Ahsanteni, tunaomba sana samahani kwa usumbufu uliojitokeza. Nawatakieni Siku njema na endeleeni kuperuzi blogu hii kama kawaida bila kukosa na sisi tutajitahidi kila siku kuwaleteeni habari mpya na matukio mapya.

No comments:

Post a Comment