TANGAZO


Saturday, January 5, 2013

Christian Mzindakaya na mkewe Theresia, wamtembelea Waziri Mkuu kijijini kwake Kibaoni

Dk. Christian Mzindakaya akiangalia mahindi katika shamba la Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia), alipomtembelea kijijini kwake Kibaoni, Mpanda mkoani Katavi.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa na mkewe, mama Tunu Pinda (kulia), wakimuonesha Dk. Christian Mzindakaya shamba lao la mahindi lililopo katika kijiji cha Kibaoni. Nyuma ya Mzindakaya ni mkewe, Theresia Mzindakaya ambao walimtembelea Waziri Mkuu kijijini kwake, Kibaoni, Mpanda. 
Shamba la mahindi la Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, lililopo katika kijiji cha Kibaoni, Mpanda Mkoa wa Katavi kama linavyoonekana alipotembelewa na mhe. Mzindakaya ni mkewe, Theresia. (Picha zote na Chris Mfinanga)

No comments:

Post a Comment