TANGAZO


Wednesday, July 11, 2012

Wabunge wa Afrika ya Mashariki waanza semina ya Mpango Kazi

Spika wa Bunge la Afrika ya Mashariki, Magreti Nzziwa Nantongo (kulia), akibadlishana mawazo na Mbunge wa Afrika Mashariki kutoka Tanzania, Shy Rose Bhanji wakati wa semina ya Mpango Kazi ya Bunge hilo leo. 
Wabunge wa Afrika Mashariki, Shy Rose Bhanji na mwenzake kutoka Burundi wakibadilishana mawazo na spika wa bunge hilo, Magreth Nzziwa (katikati), kutoka Uganda ambaye ni spika wa kwanza mwanamke toka kuanzishwa tena Jumuiya ya Afrika ya Mashariki (EAC).  Hapa wakiwa kwenye kikao cha kupanga kazi za mwaka za bunge hilo katika Hoteli ya East African jijini Arusha leo.
Wabunge wa Afrika Mashariki, Shy Rose Bhanji na mwenzake kutoka Burundi wakizungumza jambo na Spika wa bunge hilo, Magreth Nzziwa (katikati), kutoka Uganda. 
 Spika wa Bunge la Afrika ya Mashariki, Magreti Nzziwa Nantongo (kulia), akiwa kwenye semina ya siku mbili ya kuandaa mpango kazi wa mwaka 2012-13 ya hilo, Hoteli ya East African, jijini Arusha.
 Wabunge wa Bunge la Afrika ya Mashariki wakiwa kwenye semina ya siku mbili ya kuwajengea uwezo na kuanda mpango kazi wa mwaka 2013 kwenye hotel ya East African jijini Arusha leo.  
 Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki, Shyrose Bhanji (kulia), akiangalia kitu kwenye moja ya makabrasha pamoja na Mbunge mwenzake kutoka Burundi, wakati wa semina ya mpango kazi wa Bunge la Afrika ya Mashariki leo jijini Arusha.

Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki, Shyrose Bhanji (kulia), akipitia kwa makini makabrasha ya semina ya mpango kazi wa Bunge la Afrika ya Mashariki leo jijini Arusha.

Wabunge wa Bunge la Afrika ya Mashariki wakipitia makabrasha yao kwenye semina hiyo, jijini Arusha leo.  (Picha zote na Mahmoud Ahmad Arusha)

No comments:

Post a Comment