NMB yaendesha droo ya kwanza ya Promosheni ya 'Jenga maisha yako na NMB'
Meneja Mawasiliano wa NMB, Josephine Kulwa akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, wakati wa kuwatafuta washindi wa droo ya kwanza ya Jenga maisha yako na NMB iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kulia waliokaa ni Meneja Bidhaa wa Selcom Wireless, Julio Batalia na kushoto ni Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Sadiki Elimsu.
Meneja Mawasiliano wa NMB, Josephine Kulwa akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kuwatafuta washindi wa droo ya Jenga maisha yako na NMB, iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mineja bidhaa wa Selcom Wireless, Julio Batalia.
Meneja Mawasiliano wa NMB, Josephine Kulwa akibonyeza kitufe cha kompyuta kwa ajili ya kuchezesha droo ya kwanza ya kuwatafuta washindi wa Promosheni ya ya Jenga maisha yako na NMB, iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Sadiki Elimsu na Meneja bidhaa wa Selcom Wireless, Julio Batalia. (Picha zote na Francis Dande)
No comments:
Post a Comment