
Msanii wa Muziki wa kizazi kipya Diamond akiimba kwa madaha wakati wa Tamasha la”WAJANJA ”Lililofanyika jana katika uwanja wa Nang’wanda Mkoani Mtwara,Tamasha hilo limefanyika katika Mikoa mitatu hapa
nchini na litamalizikia Mkoa wa Tanga jumapili ijayo likiwa na lengo
la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni wa Vodacom kwa
kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na
tano kwenda mtandao wowote na kutumia facebook na twitter bure.

Msanii wa Muziki wa kizazi kipya Diamond akicheza vilivyo wakati wa Tamasha la”WAJANJA ”Lililofanyika jana katika uwanja wa Nang’wanda Mkoani Mtwara,Tamasha hilo limefanyika katika mikoa mitatu hapa
nchini na litamalizikia mkoa wa Tanga jumapili ijayo likiwa na lengo
la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni wa Vodacom kwa
kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na
tano kwenda mtandao wowote na kutumia facebook na twitter bure.

Msanii
Mkongwe wa Muziki wa kizazi kipya Fid Q akiwapagawisha wakazi wa Mkoa
wa Mtwara hapo jana wakati wa tamasha la”WAJANJA” linaendeshwa na
Vodacom Tanzania,Jumapili ijayo litafanyika katika mkoa wa
Tanga minne likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao
wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa
shilingi ishirini na tano kwenda mtandao wowote na kutumia facebook na twitter bure.

Msanii
Mahiri wa Muziki wa kizazi kipya Nay wa Mitego akiwapagawisha wakazi
wa Mkoa wa Mtwara hapo jana katika uwanja wa Nang’wanda mkoani humo
wakati wa Tamasha la”WAJANJA” linaloendeshwa na Vodacom
Tanzania,Tamasha hilo limefanyika katika mikoa mitatu jumapili hii
litafanyika katika mkoa wa Tanga likiwa na lengo la kuwaelimisha
wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi
na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtandao wowote na
kutumia facebook na twitter bure. (Picha zote na mdau wetu)

Mwamba
wa Kaskazini Joh Makini akiwapagawisha wakazi wa Mtwara katika uwanja
wa Nang’wani mkoani humo wakati wa Tamasha la”WAJANJA wa
Vodacom”lililofanyika hapo jana mkoani humo likiwa na lengo la
kuwaelimisha wananchi kutumia huduma za mtandao huo kwa kuongea kwa robo
shilingi na kutuma ujumbe kwenda mtandao wowote kwa shilingi ishirini
na tano na kutumia twitter na facebook bure.

Msanii
wa kizazi kipya Shetta kushoto sambamba na Papaa wakiwapagawisha
wakazi wa Mtwara hapo jana katika uwanja wa Nangw’anda kwenye Tamasha
la “Wajanja”liloandaliwa na Vodacom Tanzania likiwa na lengo la
kuwaelimisha awananchi kutumia mtandao huo kwa kuongea kwa robo shilingi
na kutuma ujumbe kwa shilingi ishini na tano kwenda mtandao wowote na
kuperuzi facebook na twitter bure.

Baadhi
ya watoto wa Mkoa wa Mtwara wakionyesha vipaji vyao vya kucheza kiduku
wakati wa tamasha la”WAJANJA”hapo jana katika uwanja wa Nang’wanda
tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litaendelea kufanyika katika
mkoa wa Tanga jumapili ijayo likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi
kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma
ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtandao wowote na kutumia
facebook na twitter bure.
No comments:
Post a Comment