Rais
Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, akimkaribisha Ikulu Makamu wa Rais wa Afrika
Kusini, Kgalema Motlante wakati mgeni huyo alipomtembelea Rais Ikulu jijini leo. Kulia
ni Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal.
Rais
Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Makamu wa Rais wa
Afrika Kusini Kgalema Motlante (kushoto), Ikulu jijini Dar es Salaam.
Kulia nia Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal.
No comments:
Post a Comment