TANGAZO


Wednesday, July 11, 2012

Mkuu wa wilaya ya Mvomero, Anthony Mtaka akagua miradi ya Kilimo

Mkuu wa Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, Anthony Mtaka (kulia), akimsikiliza Mtafiti Kiongozi wa Kituo cha Utafiti cha Chollima Reseach Centre cha Dakawa Mvomero, George Iranga, wakati akimpatia maelezo juu ya mradi wa kilimo kwanza katika shamba la wanakikundi cha Jaribu kijiji cha Msufini, Kata ya Hembeti wilayani humo leo. 

Mkuu wa Wilaya ya Mvomero mkoani, Anthony Mtaka (kulia), akiangalia mazao ya mahindi wakati alipokuwa akipatiwa maelezo na Mtafiti Kiongozi wa Kituo cha Utafiti cha Chollima Reseach Centre cha Dakawa Mvomero, George Iranga,  juu ya mradi wa kilimo kwanza katika shamba la wanakikundi cha Jaribu kijiji cha Msufini, Kata ya Hembeti wilayani humo leo. (Picha na Mtanda Blog).

No comments:

Post a Comment