Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mwenyekiti aliyeongozana na ujumbe kutoka Hongda Group ya Beijing China, Quan Zhezhu, wakati akiukaribisha ujumbe huo ulipofiak ofisini kwake, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai 11, 2012 kwa mazungumzo.
 |
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na ujumbe kutoka Hongda Group, Beijing China, wakati ulipofiak ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai 11, 2012 kwa mazungumzo. |
 |
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia zawadi ya picha wakati akikabidhiwa na Mwenyekiti wa Umoja wa Hongda Group ya Beijing China, Quan Zhezhu (katikati) na mjumbe, Liu Canglang, ujumbe huo ulipofiaka ofisini kwake Ikulu, jijini Dar es Salaam, leo Julai 11, 2012 kwa mazungumzo. |
|
No comments:
Post a Comment