TANGAZO


Friday, March 2, 2012

TWALGU Yasitisha Maandamano

Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU), Sudi Madega, akitoa tamko leo Machi 2, 2012, jijini Dar es salaam, kuhusu  kusitishwa kwa maandamano ya amani yaliyokuwa yakielekea Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, ambayo yangelifanyika kesho. Kushoto ni Afisa Habari na Uhusiano wa Kimataifa wa  TALGWU, Shani Kibwasali. Maandamano yamesitishwa baada ya kufikia muafaka na Serikali. (Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO-Dar es salaam)
 

 Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania(TALGWU) Sudi Madega(katikati)  akitoa tamko leo jijini Dar es salaam la kusitishwa kwa maandamano ya amani kuelekea Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa yaliyotakiwa kufanyika kesho(3.3.20012). Wengine katika picha Afisa Habari na Uhusiano wa Kimataifa TALGWU) Shani Kibwasali(kulia) na Afisa Habari Mkuu wa MAELEZO Mwirabi Sise . Chama hicho kimesitisha maandamano baada ya kufikia muafaka na Serikali.

Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU), Sudi Madega(katikati), akitoa tamko leo jijini Dar es salaam la kusitishwa kwa maandamano ya amani kuelekea Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, yaliyotakiwa kufanyika kesho(3.3.20012). Wengine katika picha Afisa Habari na Uhusiano wa Kimataifa TALGWU), Shani Kibwasali (kushoto) na Afisa Habari Mkuu wa MAELEZO, Mwirabi Sise . Chama hicho kimesitisha maandamano baada ya kufikia muafaka na Serikali.

No comments:

Post a Comment