Wajumbe na Viongozi wa chama cha wamiliki wa shule Vyuo na shule binafsi (TAMONGSCO) wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutoka ndani ya ukumbi wa bunge leo mjini Dodoma. Viongozi hao wapo bungeni Dodoma kukutana na kamati ya kudumu ya bunge ya huduma za jamii kwa lengo la kuhimiza ushirikiano kati yao na wabunge pamoja na serikali ili kubadilishana uzoefu na kujadili changamoto zinazoikabili sekta binafsi ya elimu nchini Tanzania. (Picha na Aron Msigwa - Maelezo)
No comments:
Post a Comment