Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya simu za mkononi ya Tigo,
Alice Maro (kushoto), akimkabidhi kompuyuta ndogo (laptop), Asmah Abdalah katika
hafla ya kukabidhi zawadi washindi wa promosheni ya 'Zamu Yako Kushinda', Dar es
Salaam leo Februari 14, 2012. Katikati ni Mratibu wa Promosheni na Matukio wa Tigo, Edward
Shila. (Picha na Richard Mwaikenda)
Mkazi wa Mbezi, Dar es Salaam, Maglani Maleko akikabidhiwa mfano wa hundi yenye thamani ya sh. milioni 4, baada ya kuwa mmoja wa washindi wa promosheni hiyo.
No comments:
Post a Comment