TANGAZO


Sunday, February 19, 2012

Simba yarejea jijini Dar

 Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Ismail Rage, akiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere, Dar es Salaam na timu hiyo, wakitokea nchini Rwanda, ilikocheza na Kiyovu FC mchezo wa kwanza wa Shirikisho barani Afrika na kutoka sare ya kufungana bao 1-1. (Picha na Kassim Mbarouk)



 Mchezaji Felix Sunzu wa Simba, akisalimiana na dereva wa gari lao, Nassor Said mara alipowasili akitoka Rwanda na timu yake hiyo.


 Mchezaji Juma Kaseja (kulia), akiwasili na aliyewahi kuwa kiongozi wa timu hiyo, Hassan Hasanol, wakitokea Rwanda, walikocheza na Kiyovu ya huko katika kuwania kombe la Shirikisho barani Afrika juzi.


 Aliyewahi kuwa golikipa namba moja wa Simba, James Kisaka, ambaye sasa ni mwalimu wa magolikipa, akiwasili kutoka Rwanda na timu hiyo.


 Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Geofrey Nyange 'Kaburu' (kushoto), akiwa na wachezaji Uhuru Suleiman, Emmanuel Okwi, wakiwasili uwanjani hapo leo wakitokea Rwanda walikokwenda  kucheza na Kiyovu  FC na kutoka nayo sare ya bao 1-1.

                                                                                          
 Mcheaji Juma  Jabu, akiwasili pamoja na timu yake ya Simba, kutoka Rwanda ilikocheza na timu ya Kiyovu ya huko.


 Mchezaji Juma Nyonso wa Simba, akiwasili kutoka Rwanda, timu yake ilipocheza na Kiyovu katika mchezo wa Shirikisho bsrani Afrika na kutoka sare ya kufungana bao 1-1.



 Victor Costa wa Simba, akiwasili uwanja wa ndege wa Mwalimu JK. Nyerere, Dar es Salaam, akitokea Rwanda timu yao ilikocheza na Kiyovu na kutoka nayo sare ya bao 1-1.


                  
                      
 Wachezaji Nassor Said 'Chollo', akiwa na Felix Sunzu wakitokea Rwanda timu yao ilikocheza na Kiyovu ya Rwanda na kutoka sare ya kufungana bao 1-1.                            


 Wachezaji wa Simba kutoka kushoto Yondani, Machaku Salum na Mwinyi Kazimoto. wakiwa uwanjani hapo.


Wachezaji Machaku Salum (kushoto) na Mafisango, wakitafuta mawasiliano baada ya kuwasili nchini wakitokea Rwanda kucheza na Kiyovu ya huko katika mchezo wa kwanza wa Kombe la Sirikisho barani Afrika. Timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1.

No comments:

Post a Comment