Akihojiwa na televisheni moja ya Kiarabu, Saadi Gaddafi alitishia kuongoza vita dhidi ya serikali ya Libya.
Alisema mapigano kadha yatazuka punde nchini Libya, na kwamba karibu kila siku anawasiliana na makundi ndani ya nchi.
Bwana Gaddafi, ambaye alikimbilia Niger baada ya serikali ya baba yake kupinduliwa Agosti mwaka jana, alisema anataraji kurudi Libya punde
No comments:
Post a Comment