TANGAZO


Friday, February 10, 2012

Rais Kikwete, amzika Mwenyekiti wa Wazee wa CCM, Dodoma

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwaga mchanga kwenye kaburi la Mzee Omar Selemani, ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dodoma. Mzee Suleiman alifariki dunia hospitalini ya Mkoa wa Dodoma jana tarehe 9, Februari, 2012, alikokuwa amelazwa kwa matibabu na kuzikwa leo, mjini humo. (Picha na Ikulu)



  Rais Jakaya Kikwete akiwa pamoja na viongozi, wazee na waombolezaji mbalimbali kwenye mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Wazee wa CCM, Mkoa wa Dodoma, Mzee Omar Selemani leo.


 Rais Jakaya Kikwete, akiwa pamoja na waombolezaji na wageni mbalimbali waliofika kwenye mazishi hayo.


Rais Jakaya Kikwete (katikati), akiwa na Mzee Malecela (wa pili kulia), wazee mbalimbali pamoja na waombolezaji kwenye mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Wazee wa CCM, Mkoa wa Dodoma, Omar Selemani leo.

No comments:

Post a Comment