Kocha wa Timu ya Taifa, Taifa Stars, Jean Paulsen (kulia), akiwa na mwenzake wa Msumbiji, Engle Gert, mara baada ya kuzungumza na waandishi wa habari leo mchana kuhusu mchezo wa kuwania kufuzu kwa Fainali ya Mataifa ya Afrika, zitakazochezwa nchini Afrika ya Kusini, mwaka 2013, mchezo utakaochezwa kesho, Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. (Picha na Kassim Mbarouk)
Kocha wa Timu ya Taifa, Taifa Stars, Jean Paulsen (kulia), akiwa ameshikana na mwenzake wa Msumbiji, Engle Gert, mara baada ya kuzungumza na waandishi wa habari leo mchana kuhusu mchezo wa kuwania kufuzu kwa Fainali ya Mataifa ya Afrika, mwaka 2013, mchezo utakaochezwa kesho, Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Kocha wa Timu ya Taifa ya Msumbiji, Engle Gert, akizungumza na Ofisa Habari wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Boniface Wambura, wakati wa mkutano na waandishi wa habari leo mchana.
No comments:
Post a Comment