Wednesday, February 15, 2012
Benki ya Posta Tanzania (TPB), yawapata washindi wa Promosheni ya TPB Popote
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi, akibonyeza kitufe cha kompyuta ili kuwapata washindi wa droo ya Promosheni ya 'Shinda na TPB POPOTE', Makao Makuu ya benki hiyo, Dar es Salaam leo. Kulia ni Msimamizi wa Michezo ya Kubahatisha, Abdallah Hemedy na kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Masoko wa TPB, Andrew Chimazi. Katika droo hiyo, washindi saba walipatikana na kujishindia jumla ya sh. milioni 3. (Picha na Kassim Mbarouk).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment