Wednesday, June 6, 2018
WAZIRI PROFESA MBARAWA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA TAZARA FLYOVER
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,Profesa Makame Mbarawa (kushoto) na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaharu Yoshida (kulia) wakikagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya juu (Tazara Fly Over) leo jijini Dar es Salaam. Ujenzi huo kwa sasa umekamilika kwa asilimia 88.(Imetolewa na Kitengo cha Habari na Mawasiliano Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano)
Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaharu Yoshida akijadiliana jambo na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (kulia) mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya juu (Tazara Fly Over) leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,Profesa Makame Mbarawa (kulia) na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaharu Yoshida (kushoto) wakijadiliana jambo mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya juu (Tazara Fly Over) leo jijini Dar es Salaam.
Muonekano wa juu wa Barabara ya Nyerere eneo la Tazara (Tazara Fly Over) ambao kwa sasa ujenzi wake umekamilika kwas asilimia 88.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment