TANGAZO


Friday, June 8, 2018

MAAFISA UUGUZI KUTOKA CHUO KIKUU CHA NEW YORK CHA NCHINI MAREKANI KUSHIRIKIANA NA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KATIKA KUBORESHA UTOAJI HUDUMA KWA WAGONJWA

Mkurugenzi wa Idara ya Tiba Shirikishi  ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Delila Kimambo akimkabidhi zawadi ya kinyago Afisa Muuguzi wa Chuo Kikuu cha New York cha nchini Marekani Linda Herrmann wakati wa hafla fupi ya kuwaaga iliyofanyika leo katika Taasisi hiyo. Maafisa uuguzi wawili  kutoka chuo hicho walifika katika Taasisi hiyo  kwaajili ya kuangalia namna ya kushirikiana katika  kuboresha utoaji wa huduma kwa wagonjwa.
Mkurugenzi wa Idara ya Tiba Shirikishi  ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Delila Kimambo akimkabidhi zawadi Afisa Muuguzi wa Chuo Kikuu cha New York cha nchini Marekani Mary Brennan  wakati wa hafla fupi ya kuwaaga iliyofanyika leo katika Taasisi hiyo. Maafisa uuguzi wawili  kutoka chuo hicho walifika katika Taasisi hiyo  kwaajili ya kuangalia namna ya kushirikiana katika  kuboresha utoaji wa huduma kwa wagonjwa.  
Mkurugenzi wa Idara ya Uuguzi Robert ally  pamoja na Maafisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiwa katika picha ya pamoja na Maafisa  Uuguzi wa Chuo Kikuu cha New York cha nchini Marekani Mary Brennan mara baada ya kumalizika kwa  hafla fupi ya kuwaaga iliyofanyika leo katika Taasisi hiyo. Maafisa uuguzi wawili  kutoka chuo hicho walifika katika Taasisi hiyo  kwaajili ya kuangalia namna ya kushirikiana katika  kuboresha utoaji wa huduma kwa wagonjwa.(Picha zote na JKCI)

No comments:

Post a Comment