TANGAZO


Thursday, March 22, 2018

Putin kutumia kombe la Dunia katika amani

Rais wa Urusi

Haki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionRais wa Urusi
Mwanasiasa wa siku nyingi nchini Urusi Boris Johnson amesema anakubaliana na kauli ya Rais wa Urusi Vladimir Putin kuwa ataitumia michuano ya kombe la Dunia kuifanya Urusi kuwa nchi ya amani kama alivyowahi kuitumia rais wa Ujerumani Aldolf Hitler michuano ya Olimpiki ya mwaka 1936 katika masuala ya amani.
Johnson amesema kuwa kutakuwa na mazungumzo ya haraka dhidi ya Urusi kuhusu usalama wa mashabiki katika mashindano hayo yajayo, msemaji wa Wizara ya Mambo ya nje ya urusi amesema wanaurusi wameathitika na chuki iliyodumu kwa muda mrefu.

No comments:

Post a Comment