TANGAZO

Saturday, January 20, 2018

MTANDAO WA DEIPLACES KUKUZA UTALII NCHINI TANZANIA

Mkuu wa Biashara wa Kampuni ya Dei Group International Dkt. Paul Bamutaze akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu Mtandao wa Kijamii wa DEIPLACES unatumika katika kutangaza vivutio vya Utalii jana Jijini Dar es Salaam.

Meneja Bidhaa ya DEIPLACES toka Kampuni ya Dei Group International Moses Matovu akisisitiza jambo wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mtandao wa DEIPLACES unatumika kutangaza vivutio vya Utalii jana Jijini Dar es Salaam. 

Mkuu wa Biashara wa Kampuni ya Dei Group International, Dkt. Paul Bamutaze akiteta jambo na wafanyakazi wenzake wakati wa mkutano wao na waandishi wa Habari kuhusu uliokuwa na lengo la uzinduzi wa Mtandao wa Kijamii wa DEIPLACES unatumika kutangaza vivutio vya Utalii jana Jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Kiongozi wa Wandelezaji wa Bidhaa Joe Ssekono, Meneja Bidhaa Moses Matovu na Meneja Masoko wa Kampuni hiyo Yusuf Muziransa. 
Kiongozi wa Waendelezaji wa Biadha ya DEIPLACES toka Kampuni ya Dei Group International Joe Ssekono akifafanua jambo wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mtandao wa DEIPLACES unatumika kutangaza vivutio vya Utalii jana Jijini Dar es Salaam.
Ukurasa wa Mtandao wa Kijamii wa DEIPLACES kama unavyoonekana unapotaka kujisajili au kuingia na kuanza kutumia. Mtandao huo unatumika kwa ajili ya kutangaza vivutio vya utalii.  
Wawakilishi wa Kampuni ya Dei Group Internationa wakifuatilia uzinduzi wa Mtandao wa Kijamii wa DEIPLACES jana jijini Dar es Salaam. Mtandao huo unatumika kwa ajili ya kutangaza vivutio vya utalii. 
Baadhi ya Waandishi wa habari wakifuatilia mkutano baina yao na wawakilishi wa Kampuni ya Dei Group International walipokuwa wanazindua Mtandao huo unatumika kwa ajili ya kutangaza vivutio vya utalii jana Jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Mpigapicha Wetu)

No comments:

Post a Comment