TANGAZO


Monday, November 20, 2017

BALOZI WA JAPAN AKUTANA NA WAZIRI MWAKYEMBE KUJADILI MICHEZO

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akizungumza na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Masaharu YOSHIDA (kulia) alipomtembelea ofisini kwake leo Jijini Dar es Salaam kujadili namna ya kusaidia michezo mbalimbali ukiwemo mchezo wa Baseball. 
Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Masaharu Yoshida (kushoto) akifafanua jambo wakati wa maongezi na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (kulia) leo Jijini Dar es Salaam kujadili namna ya kusaidia michezo mbalimbali ukiwemo mchezo wa Baseball.(Picha zote na Genofeva Matemu - WHUSM)

No comments:

Post a Comment