TANGAZO


Wednesday, July 26, 2017

WAZIRI MWAKYEMBE ATOA SALAMU ZA SHUKURANI

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo  Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na waandishi wa habari (hawapo katika picha) leo Jijini Dar es Salaam alipokuwa akitoa neno la shukrani kwa wote walioshiriki katika kumfariji kipindi cha msiba wa mke wake mpendwa Bi. Linah George Mwakyembe. 


No comments:

Post a Comment