TANGAZO


Wednesday, July 26, 2017

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KAIMU RAIS, SPIKA WA NIGERIA KATIKA UFUNGUZI WA MKUTANO WA 18 WA MASPIKA WA MABUNGE YA JUMUIYA YA MADOLA BARANI AFRIKA JIJINI ABUJA

Mhe. Spika Job Ndugai akisalimiana na Kaimu Rais wa Nigeria Mhe. Profesa Yemi Osinbajo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 18 wa Maspika wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Barani Afrika unaofanyika Abuja nchini humo. 
Mhe Spika Job Ndugai akisalimiana na Spika wa Bunge la Nigeria,Mhe Alhaji Yakubu Dogara wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 18 wa Maspika wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Barani Afrika unaofanyika Abuja nchini humo.

No comments:

Post a Comment