Mwenyekiti
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Azzan Zungu akiongoza kikao
cha hamsini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017. (Picha
zote na Daudi Manongi-Maelezo, Dodoma)
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira na Muungano) Mhe.Luhaga Mpina akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha hamsini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe. Hamad Masauni akifafanua jambo katika kikao cha hamsini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhe.Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha hamsini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.
Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mhe.William Ole Nasha akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao katika kikao cha hamsini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Eng Stella Manyanya akiteta jambo na Mbunge wa Mkuranga, Mhe. Abdallah Ulega katika kikao cha hamsini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.
Maafisa habari wa Chama cha Public Relations Society of Tanzania (PRST), kutoka Jijini Mwanza wakifuatilia kwa makini shughuli za Bunge katika kikao cha hamsini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof Elisante Ole Gabriel akiwa na Naibu Katibu wa Wizara hiyo Bi.Nuru Millao na Viongozi Waandamizi wa Wizara wakifuatilia mijadala mbalimbali katika kikao cha hamsini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.
Wabunge kutoka Bunge la Msumbiji ambao ni wajumbe wa Kamati ya Serikali za Mitaa kwa ambao wamekuja kwa ziara ya mafunzo wakiwa katika picha ya pamoja katika viwanja vya Bunge leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.



No comments:
Post a Comment