TANGAZO

Tuesday, June 13, 2017

MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2017

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mjini Dodoma leo, kuhusu Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yatakayofanyika kuanzia tarehe 14-23 Juni,2017, yenye kaulimbiu “Kuimarisha Ushirikishwaji wa Jamii katika Utoaji Huduma, Vijana washirikishwe kuleta mabadiliko Barani Afrika”. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Bi. Susan Mlawi. 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki (katikati), akizungumza na waandishi wa habari, mjini Dodoma leo, kuhusu Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yatakayofanyika kuanzia tarehe 14-23 Juni,2017, yenye kaulimbiu “Kuimarisha Ushirikishwaji wa Jamii katika Utoaji Huduma, Vijana washirikishwe kuleta mabadiliko Barani Afrika”. Kulia kwake ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Bi. Susan Mlawi. (Picha zote na Daudi Manongi-Maelezo, Dodoma)

No comments:

Post a Comment