Mkurugenzi wa Halimashauri ya Wilaya Misungwi, Bw. Eliurd L. Mwaiteleke (kulia) akimuongoza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (katikati) kwenda katika moja ya kituo cha kusajili watumishi wa umma kwa ajili ya kupatiwa Vitambulisho vya Taifa wakati wa ziara ya waziri huyo ili kuona namna zoezi hilo linavyoendeshwa katika Halimashauri ya Wilaya Misungwi.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah J. Kairuki akipewa ufafanuzi na Afisa Usajili wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa wa Halimashauri ya Wilaya Misungwi Bw. Abbasi Iwodya (kulia) juu ya taarifa zinazowasilishwa na watumishi wa umma kwa ajili ya kupatiwa Vitambulisho vya Taifa wakati wa ziara ya kikazi ya waziri huyo aliyoifanya katika Halimashauri ya Wilaya Misungwi.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb), akizungumza na mmoja wa watumishi aliyekuwa akijisajili kwa ajili ya kupata Kitambulisho cha Taifa wakati wa ziara ya waziri huyo ya kukagua na kufanya tathmini ya zoezi hilo katika Halimashauri ya Wilaya Misungwi.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akikagua viambatisho vya malalamiko yaliyowasilishwa na mmoja wa watumishi wa Halimashauri ya Wilaya Misungwi wakati wa ziara ya kikazi ya waziri huyo aliyoifanya katika Halimashauri hiyo ili kukagua na kufanya tathmini ya zoezi la usajili wa watumishi wa umma kwa ajili ya kupatiwa Vitambulisho vya Taifa mkoani Mwanza.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akipokea malalamiko ya mtumishi wa Halimashauri ya Wilaya Misungwi wakati wa ziara ya kikazi ya waziri huyo aliyoifanya katika Halimashauri hiyo ili kukagua na kufanya tathmini ya zoezi la usajili wa watumishi wa umma kwa ajili ya kupatiwa Vitambulisho vya Taifa mkoani Mwanza.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb), akizungumza na watumishi wa Halimashauri ya Wilaya Misungwi wakati wa ziara ya kikazi ya waziri huyo aliyoifanya katika Halimashauri hiyo ili kukagua na kufanya tathmini ya zoezi la usajili wa watumishi wa umma kwa ajili ya kupatiwa Vitambulisho vya Taifa mkoani Mwanza.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Angellah J. Kairuki (Mb), akishuhudia mtumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ilemela akisajiliwa kwa ajili ya kupata Kitambulisho cha Taifa wakati wa ziara ya waziri huyo ya kukagua na kufanya tathmini ya zoezi hilo katika Halimashauri hiyo.
Baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyamagana waliojitokeza kwa ajili ya kujisajili ili kupata Vitambulisho vya Taifa wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) (hayupo pichani) wakati wa ziara ya kikazi ya waziri huyo aliyoifanya katika Halmashauri hiyo ili kukagua na kufanya tathmini ya zoezi hilo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akishuhudia usajili wa watumishi wa umma wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyamagana kwa ajili ya kupata Vitambulisho vya Taifa wakati wa ziara ya kikazi ya waziri huyo aliyoifanya katika Halmashauri hiyo ili kukagua na kufanya tathmini ya zoezi hilo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb), akisisitiza juu ya ukamilishaji wa zoezi la usajili wa watumishi wa umma mkoani Mwanza wakati wa ziara ya kikazi ya waziri huyo mkoani humo, aliyoifanya kwa lengo la kufanya tathmini ya zoezi hilo . Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Bw. John Mongella akimsikiliza.(Picha zote na Ofisi ya Utumishi wa Umma)
No comments:
Post a Comment