Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Barabara nchini Bw. Joseph Haule akifafanua jambo kwa waandishi wa habari kuhusu ripoti ya ukaguzi wa kiufundi kwa kazi ya Ujenzi wa barabara ya Masjid Quba (KM 2.478) kwa kiwango cha lami katika Manispaa ya Kinondoni. Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Kaimu Meneja wa Mfuko huo Bw. Eliud Nyauhenga.
Baadhi ya Watendaji wa
Bodi ya Mfuko wa Barabara nchini (RFB), wakimsiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko
huo Bw. Joseph Haule (hayupo pichani), wakati alipotoa ripoti ya ukaguzi wa
kiufundi kwa kazi ya Ujenzi wa barabara ya Masjid Quba (KM 2.478) kwa kiwango
cha lami katika Manispaa ya Kinondoni.Jijini Dar es Salaam.(Picha zote na Wizara ya
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano)
No comments:
Post a Comment