TANGAZO


Monday, October 3, 2016

TIGO FIESTA ILIVYOTIKISA JIJI LA ARUSHA JUMAMOSI HII

Baraka Da Prince na Nandy wakitumbuiza katika jukwaa la Fiesta usiku wa jumamosi katika viwanja vya Amri Sheikh abeid karume Jijini Arusha.
Barnaba akiburudisha maelfu ya wakazi wa Jiji la Arusha.
Benpol akiwa na Mcheza shoo wake wakitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa jumamosi Jijini Arusha .
Mashabiki wakimshangilia Benpol.
Mkali wa Muziki wa Rhumba Christian Bella akiburudisha mashabiki wa muziki katika jukwaa la Tigo Fiesta.
Darasa akionesha umahir kughani katika jukwaa la Tigo fiesta.

Dogo Janja kwa style yake akitumbuiza katika Jukwaa la fiesta Jijini Arusha.
Feza Kessy akionesha umahiri wake katika jukwaa la Fiesta jijini Arusha.
Jambo SQUAD.
Linah naye akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta jijini Arusha.

Mr Blue.
Vanesa Mdee akiburudisha mashabiki wake katika Jukwaa la Tigo Fiesta.
Weusi wakishambulia jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa Jumamosi. 
Maelfu ya wakazi wa Arusha wakishuhuhida burudani kali toka kwa wasanii waliotumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta.

No comments:

Post a Comment