TANGAZO


Sunday, October 2, 2016

Nduguye Fetullah Gulen akamatwa Uturuki

Fetullah Gulen


Image captionFetullah Gulen

Maafisa wa polisi nchini Uturuki wamemkamata nduguye muhubiri wa kiislamu anayeishi nchini Marekani ambaye anadaiwa kupanga njama za mapinduzi mnamo mwezi Julai Fetullah Gulen.
Kutbettin Gulen ni ndugu wa kwanza wa muhubiri huyo kukamatwa.
Mafisa wa polisi wa kukabiliana na ugaidi wameripotiwa kupewa taarifa ya ndugu huyo kutoka kwa familia ya Gulen.
Fetullah Gulen amekana kupanga njama ya jaribio la kutaka kumpindua rais Reccep Tayyip Erdogan.

No comments:

Post a Comment