Tuesday, October 11, 2016
KIWANDA CHA CHAKI WILAYANI MASWA CHAAHIDIWA MKOPO WA SH. MILIONI 30 KUTOKA MFUKO WA VIJANA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira, na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama akisalimiana na baadhi ya watendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa baada ya kuwasili katika Halmashauri hiyo jana Mkoani Simiyu kabla ya kwenda kufungua kiwanda cha chaki kinachoendeshwa na vijana wa Maswa Youth Family. (Picha zote na Genofeva Matemu - WHUSM)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira, na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama (katikati) akimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Maswa Dkt. Seif Shekalaghe (aliyesimama kushoto) baada ya kuwasili katika Halmashauri hiyo jana Mkoani Simiyu kabla ya kwenda kufungua kiwanda cha chaki kinachoendeshwa na vijana wa Maswa Youth Family.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira, na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama (kulia) akipokea taarifa fupi ya Wilaya ya Maswa kutoka kwa Mkuu wa Wilaya hiyo Dkt. Seif Shekalaghe (kushoto) baada ya kuwasili katika Halmashauri hiyo jana Mkoani Simiyu kabla ya kwenda kufungua kiwanda cha chaki kinachoendeshwa na vijana wa Maswa Youth Family.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira, na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama (kushoto) akizungumza na viongozi kutoka Mkoa wa Simiyu na Halmashauri ya Maswa baada ya kuwasili katika Halmashauri hiyo jana Mkoani Simiyu kabla ya kwenda kufungua kiwanda cha chaki kinachoendeshwa na vijana wa Maswa Youth Family.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira, na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama (wapili kulia) akiwasili katika kiwanda cha chaki kijulikanacho kwa jina la Maswa Youth Family jana katika Halmashauri ya Maswa Mkoani Simiyu kwa ajili ya kukizindua kiwanda hicho rasmi. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka na watatu kulia ni Mwenyekiti wa kiwanda hicho Bw. Kelvin Steven.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira, na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama (watatu kulia) akipata taarifa fupi ya kiwanda cha Maswa Youth Family kutoka kwa Mwenyekiti wa kiwanda hicho Bw. Kelvin Steven (kulia) baada ya kuwasili katika kiwanda hicho kwa ajili ya kukizindua rasmi jana katika Halmashauri ya Maswa Mkoani Simiyu. Wapili kulia ni Naibu Waziri Kazi, Ajira na Vijana Mhe. Antony Mavunde na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira, na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama (kulia) akimimina mchanganyiko wa mahitaji ulioandaliwa kwa ajili ya kutengeneza chaki katika moja ya mashine ya kutengeneza chaki hizo kabla ya kuzindua rasmi kiwanda cha chaki jana katika Halmashauri ya Maswa Mkoani Simiyu. katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka na kushoto ni kijana kutoka Maswa Youth Famili Bibi. Brenda Kasea.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama (katikati) akiangalia chaki alizozitengeneza katika kiwanda cha Maswa Youth Family kabla ya kukizundua rasmi kiwanda hicho jana katika Halmashauri ya Maswa Mkoani Simiyu. Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka na kulia ni kijana kutoka Maswa Youth Family Bw. Razaro Zabroni.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira, na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama (katikati) kwa kushirikiana na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka (kulia) na Mkuu wa Wilaya ya Maswa Dkt. Seif Shekalaghe (kushoto) kukata utepe kuzindua rasmi kiwanda cha chaki cha Maswa Youth Family jana katika Halmashauri ya Maswa Mkoani Simiyu.
Naibu Waziri Kazi, Ajira na Vijana Mhe. Antony Mavunde akizungumza na vijana wa Maswa Youth Family pamoja na wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa baada ya uzinduzi wa kiwanda cha chaki jana katika Halmashauri ya Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu. Wapili kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira, na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama na wapili kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu Dkt. Titus Kamani
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka akizungumza na vijana wa Maswa Youth Family pamoja na wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa baada ya uzinduzi wa kiwanda cha chaki jana katika Halmashauri ya Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira, na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama (aliyesimama) akizungumza na vijana wa Maswa Youth Family pamoja na wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa baada ya kuzinduzi wa kiwanda cha chaki jana katika Halmashauri ya Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu. Kulia ni Naibu Waziri Kazi, Ajira na Vijana Mhe. Antony Mavunde, kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka na wapili kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu Dkt. Titus Kamani.
Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa wakimsikiliza kwa makini Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira, na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) baada ya kukizindua kiwanda cha chaki kinachoendeshwa na vijana wa Maswa Youth Family jana katika Halmashauri ya Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment