Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana alipomtembelea katika Ofisi Ndogo za CCM zilizopo Mtaa wa Lumumba Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akikaribishwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana alipomtembelea katika Ofisi Ndogo za CCM zilizopo Mtaa wa Lumumba Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akiwasili katika Ofisi Ndogo za CCM zilizopo Mtaa wa Lumumba Jijini Dar es Salaam alipofika kuzungumza na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Abdulrahman Kinana alipomtembelea na kuzungumza naye katika Ofisi Ndogo za CCM zilizopo Mtaa wa Lumumba Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana (kushoto) na Msemaji wa CCM Christopher Ole Sendeka (kulia) wakati alipomtembelea Katibu Mkuu wa CCM.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akiagana na msemaji wa CCM Christopher Ole Sendeka mara baada ya kuzungumza na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana katika Ofisi Ndogo za CCM zilizopo Mtaa wa Lumumba Jijini Dar es Salaam.(Picha zote na Ofisi ya Bunge)


No comments:
Post a Comment