Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu usajili wa vitambulisho vya Taifa kwa watumishi wa Umma, ambapo amewataka waajiri wote Serikalini kuhakikisha watumishi wote walio katika mamlaka zao wanasajiliwa na taarifa ya zoezi husika kuwasilishwa katika Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika kipindi cha siku 14 baada ya zoezi kukamilika katika maeneo yao. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Baadhi ya waandishi wa habari, wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki (hayupo pichani), wakati alipokuwa akizungumza nao, Dar es Salaam leo, kuhusu usajili wa vitambulisho vya Taifa kwa watumishi wa Umma, ambapo amewataka waajiri wote Serikalini kuhakikisha watumishi wote walio katika mamlaka zao wanasajiliwa na taarifa ya zoezi husika kuwasilishwa katika Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika kipindi cha siku 14 baada ya zoezi kukamilika katika maeneo yao.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki, akisoma taarifa hiyo kwa waandishi wa habari, Dar es Salaam leo.Wa pili kulia ni Katibu Mkuu wa ofisi hiyo, Dk. Laurean Ndumbaro, kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Tehama kutoka NIDA, Mohammed Khamis na wa pili kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu Wakala Mtandao (e-Government), Dk. Jabiri Bakari.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki, akifafanua jambo wakati akitoa taarifa hiyo kwa waandishi wa habari, Dar es Salaam leo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki, akizungumza waandishi wa habari, wakati akitoa taarifa ya usajili wa vitambulisho vya Taifa kwa watumishi wa Umma, jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya waandishi wa habari, wakinukuu na kuchukua matukio wakati Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki (hayupo pichani), wakati alipokuwa akizungumza nao, Dar es Salaam leo, kuhusu usajili wa vitambulisho vya Taifa kwa watumishi wa Umma, ambapo amewataka waajiri wote Serikalini kuhakikisha watumishi wote walio katika mamlaka zao wanasajiliwa na taarifa ya zoezi husika kuwasilishwa katika Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika kipindi cha siku 14 baada ya zoezi kukamilika katika maeneo yao.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki, akisisitiza jambo, alipokuwa akitoa taarifa ya usajili wa vitambulisho vya Taifa kwa watumishi wa Umma, jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki, akijibu baadhi ya maswali ya waandishi wa habari, wakati alipotoa taarifa hiyo ya usajili wa vitambulisho vya Taifa kwa watumishi wa Umma, jijini Dar es Salaam leo.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala Mtandao (e-Government), Dk. Jabiri Bakari (kulia) na Kaimu Mkurugenzi wa Tehama kutoka Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Mohammed Khamis, wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki, alipokuwa akitoa taarifa hiyo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki, akifafanua jambo alipokuwa akitoa taarifa hiyo kwa waandishi wa habari, Dar es Salaam leo. Kulia kwake ni Katibu Mkuu wa ofisi hiyo, Dk. Laurean Ndumbaro, kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Tehama kutoka NIDA, Mohammed Khamis na wa pili kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala Mtandao (e-Government), Dk. Jabiri Bakari.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki, akifafanua jambo kwa waandishi wakati wa mkutano huo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa ofisi hiyo, Dk. Laurean Ndumbaro.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Angellah Kairuki, akifafanua jambo kwa waandishi wakati wa mkutano huo. Kushoto ni Katibu Mkuu wa ofisi hiyo, Dk. Laurean Ndumbaro.

No comments:
Post a Comment