Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Kailima Ramadhani, akiwasilisha mada kwenye Mkutano Mkuu wa 32 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) unaofanyika mjini Musoma mkoani Mara.
Kamishna wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Mhe. Mchanga Mjaka akifuatilia mada akiwa na wageni waalikwa wenzake kwenye Mkutano Mkuu wa 32 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) unaofanyika mjini Musoma mkoani Mara.
Mkurugenzi Mtendaji Manispaa ya Dodoma, Godwin Kunambi akumuuliza swali Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Kailima Ramadhani kwenye Mkutano Mkuu wa 32 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) unaofanyika mjini Musoma mkoani Mara.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Kailima Ramadhani, akitoa elimu kwa mwananchi aliyetembelea banda la Tume kwenye maonesho ya Mkutano Mkuu wa 32 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) unaofanyika mjini Musoma mkoani Mara.
Afisa Habari wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Christina Njovu akimpa maelekezo mwananchi aliyetembelea banda la Tume akiwa na vitambulisho viwili vya kupigia kura (cha zamani na cha sasa) kwenye maonesho ya Mkutano Mkuu wa 32 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) unaofanyika mjini Musoma mkoani Mara.
Afisa TEHAMA wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Overblessing Msuya akitoa maelezo kuhusu Mashire ya Kielektroniki ya Usajili wa Mpigakura (BVR) wananchi waliotembelea banda la Tume kwenye maonesho ya Mkutano Mkuu wa 32 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) unaofanyika mjini Musoma mkoani Mara.
Mtoto anayesoma darasa la tano shule ya Msingi Kaminyonge aliyefahamika kwa jina moja la Salvatory (10) akimueleza Mhasibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Hubert Kiata kuhusu mambo mbalimbali yanayohusu uchaguzi wakati alipotembelea banda la Tume kwenye maonesho ya Mkutano Mkuu wa 32 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) unaofanyika mjini Musoma mkoani Mara.Katikati na mwandishi wa redio Victoria ya mjini Musoma.
Afisa Habari wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Aron Msigwa akimsainisha kitabu cha wageni mkazi wa Nyakanga Pius Rigamba wakati alipotembelea banda la Tume kwenye maonesho ya Mkutano Mkuu wa 32 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) unaofanyika mjini Musoma mkoani Mara.Katikati na mwandishi wa redio Victoria ya mjini Musoma.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Kailima Ramadhani, akizungumza na Redio Victoria ya mjini Musoma kuhusu elimu ya mpiga kura.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Halmashauri ya Buchosa Crispin Luanda akipokea nyaraka mbalimbali
kutoka kwa Levina Kakuru Mtumishi wa Tume
ya Taifa ya Uchaguzi Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Kushoto ni Mtumishi wa
Tume, Moshi Makuka.(Picha zote na Hussein Makame-NEC)












No comments:
Post a Comment