TANGAZO


Friday, September 30, 2016

KAMPUNI YA STARTIMES KUBORESHA MIUNDOMBINU YA TBC

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (kulia) akimsiliziliza Mkurugenzi Mkuu wa Makao Makuu ya Kampuni ya Startimes kutoka nchini China Bw. Pang XinXing (kushoto) alipofika ofisini kwake kumweleza mipango ya Kampuni hiyo katika kuendeleza Shirika la Utangazaji la Taifa Septemba 30,2016 jijini Dares Salaam. (Picha zote na Anitha Jonas- WHUSM)
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Makao Makuu ya Kampuni ya Startimes  kutoka nchini China Bw. Pang XinXing (katikati) kuhusu kurejea mkataba wa TBC1 na kampuni hiyo kwa lengo la kufanya maboresho ya mkataba leo Septemba 30, 2016 ofisini kwake jijini Dar es Salaam. 
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (kulia) akimsikiliza mkalimani wa Mkurugenzi Mkuu wa Makao Makuu Kampuni ya Startimes kutoka China Bi. Yuan Li Shan (kushoto), pale uongozi huo wa juu ulipofika ofisini kwake kueleza mikakati ya kuboresha Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC1), Septemba 30, 2016. 
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Makao Makuu ya Kampuni ya Startimes kutoka China  Bw. Pang  Xin Xing (kushoto) alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo Septemba 30, 2016, kuzungumzia mikakati ya kuendeleza Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC 1) jijini.

No comments:

Post a Comment