TANGAZO


Sunday, July 10, 2016

MAISHA YA WATANZANIA YAENDELEA KUWA MURUA KUPITIA VODACOM TANZANIA

001.Mkuu wa Mauzo na Usambazaji kanda ya Dar es Salaam wa Vodacom Tanzania, Domician Mkama (kulia)akimpongeza mkazi wa Mwananyamala jijini Dar es Salaam, Evans Mwenewanda (wapili kushoto), wakati wa hafla ya kumkabidhi kitita cha Shilingi Milioni 5/= alichojishindia kupitia promosheni ya”Kamata Mpunga” inayoendeshwa na kampuni hiyo,Kushoto ni Ofisa wa huduma za ziada wa kampuni hiyo,Prestin Lyatonga na mshindi mwingine wa shilingi Milioni 5/=mkazi wa Goba jijini,Serena Sanga(watatu kushoto)Ili mteja aweze kushiriki katika promosheni hii anatakiwa kutuma neno “GO” kwenda namba 15544 aidha mteja anaweza kujiunga moja kwa moja kwa kutuma neno ”WIN” kwenda namba 15544 na mteja atapata ujumbe wa kujibu maswali. 
Mshindi wa kitita cha shilingi Milioni 5/=kupitia promosheni ya ”Kamata Mpunga” inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, Mkazi wa Goba jijini Dar es Salaam, Serena Sanga ambaye ni mfanyakazi wa ndani(watatu kushoto) akipokea kitita chake mwishoni mwa wiki toka kwa Mkuu wa Mauzo na Usambazaji kanda ya Dar es Salaam wa kampuni hiyo, Domician Mkama (kulia), wakati wa hafla fupi ya kuwakabidhi washindi mbalimbali wa vitita hivyo.Kutoka kushoto ni Ofisa wa huduma za ziada wa kampuni hiyo, Prestin Lyatonga na mshindi mwingine wa shilingi Milioni 5/=mkazi wa Mwananyamala jijini, Evans Mwenewanda. Ili mteja aweze kushiriki katika promosheni hii anatakiwa kutuma neno “GO” kwenda namba 15544 aidha mteja anaweza kujiunga moja kwa moja kwa kutuma neno”WIN” kwenda namba 15544 na mteja atapata ujumbe wa kujibu maswali. 
Mshindi wa kitita cha shilingi Milioni 5/=kupitia promosheni ya ”Kamata Mpunga” inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, Mkazi wa Goba jijini Dar es Salaam, Serena Sanga ambaye ni mfanyakazi wa ndani, akionesha kitita chake kwa waandishi wa habari (hawapo pichani), wakati wa hafla fupi ya kukabidhiwa washindi mbalimbali  vitita vyao mwisho mwa wiki. Ili mteja aweze kushiriki katika promosheni hii anatakiwa kutuma neno "GO” kwenda namba 15544 aidha mteja anaweza kujiunga moja kwa moja kwa kutuma neno ”WIN” kwenda namba 15544 na mteja atapata ujumbe wa kujibu maswali. 
Sekela Kanganda(wapili kushoto)pamoja  na Winfrida Bernard (watatu kushoto)ambao ni washindi wa shilingi milioni moja moja kupitia  promosheni ya ”Kamata Mpunga” inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, Wakifurahia baada ya kukabidhiwa pesa zao na Mkuu wa Mauzo na Usambazaji kanda ya Dar es Salaam wa kampuni hiyo, Domician Mkama (kulia), katika hafla fupi ya makabidhiano ya pesa zao walizojishindia kupitia promosheni hiyo mwishoni mwa wiki.Kushoto ni Ofisa wa huduma za ziada wa kampuni hiyo,Prestin Lyatonga. Ili mteja aweze kushiriki katika promosheni hii anatakiwa kutuma neno “GO” kwenda namba 15544 aidha mteja anaweza kujiunga moja kwa moja kwa kutuma neno”WIN” kwenda namba 15544 na mteja atapata ujumbe wa kujibu maswali.

*   Mpaka sasa jumla ya washindi 68  wamejinyakulia vitita mbalimbali vya pesa tangu kuanza kwa promosheni hii

* Washindi 63 wamejishindia Milioni moja moja kila mmoja

* Washindi wanne wa wiki wamejishindia shilingi Milion 5/5 kila mmoja.

*  Mfugaji wa kuku ambaye ni mkazi wa jiji la Mwanza,Shomar Almas ameibuka na ushindi wa kitita cha shilingi Milioni 20/-

No comments:

Post a Comment