TANGAZO


Thursday, March 24, 2016

Serikali yataka kuwepo kwa mikataba kati ya Makampuni ya utengenezaji na usambazaji wa filamu Tanzania

Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi Joyce Fissoo akizungumza na wawakilishi wa kamouni ya usambazaji wa filamu Proin promotion (hawapo pichani) kuhusu mkataba kati ya kampuni hiyo na watengenezaji wa filamu Tanzania kushoto ni Rais wa shirikisho la Filamu Tanzania Simon Mwakifwamba.
Mwakilishi wa kampuni ya Proin promotion Abraham Kesulie akizungumza wakati wa kikao kati ya kampuni hiyo na Bodi ya Filamu Tanzania kuhus mkataba kati ya watengenezaji wa filamu na kampuni hiyo katikati ni Mumbe wa Bodi ya Filamu Hussein Kim na kulia ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Sheria Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Patrick Kipangula.
Mwakilishi wa kampuni ya Proin promotion Abraham Kesulie (kushoto), hiyo katikati ni Mumbe wa Bodi ya Filamu Hussein Kim na kulia ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Sheria Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Patrick Kipangula wakimsikiliza  Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi Joyce Fissoo (hayupo pichani), wakati wa kikao kati ya kampuni hiyo na Bodi ya Filamu Tanzania kuhusu mkataba kati ya watengenezaji wa filamu na kampuni. (Picha zote na Shamimu Nyaki, WHUSM)

No comments:

Post a Comment