TANGAZO

Tuesday, March 29, 2016

MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO SAIDI SADIKI ATOA TAKWIMU ZA WAFANYAKAZI WA MKOA HUO JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Saidi Mecky Sadiki akizungumza na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam leo, wakati alipokuwa akitoa takwimu za wafanyakazi wa mkoa huo pamoja na mikakati ya kiuendeshaji katika kufikia malengo ya mafanikio ya mkoa jijini. (Picha na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Saidi Mecky Sadiki akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati alipokuwa akitoa takwimu za wafanyakazi wa mkoa huo pamoja na mikakati ya kiuendeshaji katika kufikia malengo ya mafanikio ya mkoa jijini. 

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Saidi Mecky Sadiki akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati alipokuwa akitoa takwimu za wafanyakazi wa mkoa huo jijini. 
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Saidi Mecky Sadiki akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati alipokuwa akitoa takwimu za wafanyakazi wa mkoa huo jijini. 
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Saidi Mecky Sadiki akijibu maswali ya waandishi wa habari wakati alipozungumza nao jijini Dar es Salaam leo, wakati alipokuwa akitoa takwimu za wafanyakazi wa mkoa huo.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Saidi Mecky Sadiki akifafanua jambo, alipokuwa akijibu maswali ya waandishi wa habari, alipozungumza nao jijini Dar es Salaam leo, wakati akitoa takwimu za wafanyakazi wa mkoa huo.

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Saidi Sadiki akipata picha ya kumbukumbu na Mkurugenzi Mwendeshaji wa blog hii ya Bayana, Kassim Mbarouk (kushoto) na Ofisa Habari wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Adrofina Ndayikize (kulia) mara baada ya kuzungumza na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment