Mratibu wa Programu ya kukuza Ajira zenye staha kwa
Vijana Dar es Salaam,kupitia Elimu ya
Biashara na Ujasiriamali Bw.Bw. Dominic Ngunguru akiwasilisha mada kuhusu
maendeleo ya utekelezaji wa Programu hiyo kwa robo ya tatu mapema wikiendi hii
jijini Dar es Salaam.
Ofisa mwelekezi wa wa Programu ya kukuza Ajira
zenye staha kwa Vijana Dar es Salaam,kupitia
Elimu ya Biashara na Ujasiriamali. Bi. Emiliana Muchu akiwasilisha mada
kuhusu mafanikio ya program hiyo hivi
karibuni jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa Kamati inayokutanisha wadau
wa program hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya True Maisha
Bw. Erick Crispin akiwasilisha mada namna taasisi yake inavyofanya shughuli
zake katika kutoa mafunzo kwa Vijana hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Programu ya kukuza Ajira zenye staha
kwa Vijana Dar es Salaam Bibi. Maria Fustiniano (wapili kulia)
akifafanua jambo wakati wa mkutano wa kamati ya wadau wa program hiyo
uliofanyika mapema wikiendi hii jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Frank Shija,
WHVUM)





No comments:
Post a Comment