TANGAZO

Saturday, October 3, 2015

Lowassa apata mapokezi ya kihistoria Kisiwani Pemba

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa akiwapungia mkono wananchi, wakati akiwa njiani kuelekea kwenye Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Tibirinzi, Chake-Chake, Kisiwani Pemba leo October 3, 2015. (Picha zote na Othman Michuzi)
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa akiwapungia mkono wananchi, wakati akiwa njiani kuelekea kwenye Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Tibirinzi, Chake-Chake, Kisiwani Pemba leo October 3, 2015. 

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa akiwa ameusimamisha msafara wake kupisha watu wa huduma ya kwanza waliokuwa wamembeba mama mmoja (jina lake halikupatikana kwa haraka), aliyekuwa amepoteza fahamu kutokana na kukosa hewa katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Tibirinzi, Chake-Chake, Kisiwani Pemba leo October 3, 2015.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, akifurahi jambo na Mgombea Mwenza wake, Mh. Juma Duni Haji (kulia) pamoja na Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad (katikati), walipokutana katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Tibirinzi, Chake-Chake, Kisiwani Pemba leo October 3, 2015. 
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi na wanachama wa vyama hivyo, katika mkutano wa hadhara wa kampeni, uliofanyika viwanja vya Tibirinzi, Chake-Chake, Kisiwani Pemba, leo October 3, 2015.  
Wananchi wa Kisiwa cha Pemba wakimsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, wakati alipowahutubia katika mkutano wa hadhara Viwanja vya Tibirinzi, Chake-Chake, Kisiwani Pemba leo October 3, 2015.  

No comments:

Post a Comment