TANGAZO

Saturday, August 22, 2015

Yanga yanyakua Ngao ya Jamii Uwanja wa Taifa

*Yaifunga Azam FC kwa mikwaju ya Penalti
Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya timu hiyo na Azam FC, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Katika mchezo huo, Yanga ilishinda kwa mikwaju ya penalti 8 dhidi ya 7 za Azam FC. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mashabiki wa Simba wakifuatilia mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya timu Yanga na Azam FC, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. 
Pascal Wawa wa Azam FC, akimtoka Amis Tambwe wa Yanga. 
Deus Kaseke wa Yanga akiudhibiti mpira huku akifuatwa na Aggrey Morris wa Azam FC.
Deus Kaseke wa Yanga akiudhibiti mpira huku akifuatwa na Aggrey Morris wa Azam FC. 
Pascal Wawa wa Azam FC na Simon Msuva wa Yanga, wakiwa wameanguka wakati wakiwania mpira katika mchezo huo, wa Ngao ya Jamii, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.  
Wachezaji wa Yanga na Azam FC wakikimbilia mpira.
Aggrey Morris wa Azam FC akijaribu kuuzuia mpira uliopigwa na Thaban Kamusoko wa Yanga. 
Pascal Wawa, Aggrey Morris wa Azam FC na Amis Tambwe wa Yanga wakiruka juu kuupiga mpira kichwa.
Himid Mao wa Azam FC akiruka kuupiga kichwa mpira. 
Mashabiki wa Azam FC wakiishagilia timu yao hiyo katika mchezo huo. 
Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo kati ya timu yao hiyo dhidi ya Azam FC.
Mashabiki wa Yanga wakiishangilia timu yao hiyo dhidi ya Azam FC. 
Wachezaji wa Yanga wakishangilia na Nago ya Jamii, baada ya kuichapa Azam FC katika mchezo wa Ngao ya Jamii kwa mikwaju ya penalti 8-7 baada ya kutoka suluhu katika dakika 90 za kawaida za mchezo huo, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. 

No comments:

Post a Comment