Maandalizi ya kupiga rangi mabanda ya maonesho na kuweka mazingira katika hali ya usafi kwa ajili ya Maonyesho ya Nane Nane yatakayofanyika Lindi Kitaifa mwaka huu siku ya Jumatatu Agosti 3, 2015.
Wananchi wakiwa katika pilikapilika za maandalizi ya Maonyesho ya Nane Nane kitaifa mwaka huu mjini Lindi.
Mratibu wa Maonyesho ya Nane Nane kutoka wilaya ya Newala Ado Kiwangu akiwaonesha na kuwaeleza wageni waliotembelea bustani ya michungwa juu ya namna bora ya kuzalisha machungwa ikiwa ni pamoja na matumizi ya mbolea ya samadi inayoipa michungwa virutubishi stahiki, hivyo michungwa huzaa sana. Mfugaji wa sungura Ahmed Juma Ntava akiwalisha sungura wakati wa maandalizi ya Maonyesho ya Nane Nane kitaifa mkoani Lindi mwaka huu ambapo Mgeni Rasmi katika maonesho hayo anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda yatakayofunguliwa Jumatatu Agosti 3, 2015.
Mmoja wa watumishi wa Jeshi la Magereza nchini akivuna kabichi iliyokomaa tayari kwa matumizi ya mboga.
Afande Majid Nyange kutoka Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) akieleza namna ya kutumia mazingira ya asili kutengeneza jokofu yenye gharama nafuu kwa kutumia mkaa, miti, sakafu na nailoni yeusi kwa ajili ya kusharabu mwanga.
Jokofu la asili lililotengenezwa na JKT kwa kutumia mkaa, miti, sakafu na nailoni yeusi kwa ajili ya kusharabu mwanga.
Pilipili mboga zikiwa yamenawiri kwenye kitalu maalum tayari kwa maonesho Nane Nane Kitaifa mkoani Lindi mwaka huu yanaongozwa na kauli mbiu “Matokeo Mkubwa Sasa, Tuchague Viongozi Bora kwa Maendeleo ya Kilimo na Ufugaji”.
Mtama ukiwa kwenye kitalu maalum tayari kwa maonesho Nane Nane Kitaifa mkoani Lindi mwaka huu yanaongozwa na kauli mbiu “Matokeo Mkubwa Sasa, Tuchague Viongozi Bora kwa Maendeleo ya Kilimo na Ufugaji”.
Matikiti maji yakiwa kwenye kitalu maalum tayari kwa maonesho Nane Nane Kitaifa mkoani Lindi mwaka huu yanaongozwa na kauli mbiu “Matokeo Mkubwa Sasa, Tuchague Viongozi Bora kwa Maendeleo ya Kilimo na Ufugaji”.
Matikiti maji yakiwa kwenye kitalu maalum tayari kwa maonesho Nane Nane Kitaifa mkoani Lindi mwaka huu yanaongozwa na kauli mbiu “Matokeo Mkubwa Sasa, Tuchague Viongozi Bora kwa Maendeleo ya Kilimo na Ufugaji”.
Mabilinganya yakiwa yamenawiri kwenye kitalu maalum tayari kwa maonesho Nane Nane Kitaifa mkoani Lindi mwaka huu yanaongozwa na kauli mbiu “Matokeo Mkubwa Sasa, Tuchague Viongozi Bora kwa Maendeleo ya Kilimo na Ufugaji”.
Sungura wakiwa wamewekwa kwenye banda maalum tayari kwa maonesho Nane Nane Kitaifa mkoani Lindi mwaka huu yanaongozwa na kauli mbiu “Matokeo Mkubwa Sasa, Tuchague Viongozi Bora kwa Maendeleo ya Kilimo na Ufugaji”. Sungura wakiwa wamewekwa kwenye banda maalum tayari kwa maonesho Nane Nane Kitaifa mkoani Lindi mwaka huu yanaongozwa na kauli mbiu “Matokeo Mkubwa Sasa, Tuchague Viongozi Bora kwa Maendeleo ya Kilimo na Ufugaji”.
Mabata wakiwa wamewekwa kwenye dimbwi la maalum la maji tayari kwa maonesho Nane Nane Kitaifa mkoani Lindi mwaka huu yanaongozwa na kauli mbiu “Matokeo Mkubwa Sasa, Tuchague Viongozi Bora kwa Maendeleo ya Kilimo na Ufugaji”.
Mabata wakiwa wamewekwa kwenye dimbwi la maalum la maji tayari kwa maonesho Nane Nane Kitaifa mkoani Lindi mwaka huu yanaongozwa na kauli mbiu “Matokeo Mkubwa Sasa, Tuchague Viongozi Bora kwa Maendeleo ya Kilimo na Ufugaji”.
Kuku wakiwa wamewekwa kwenye banda maalum tayari kwa maonesho Nane Nane Kitaifa mkoani Lindi mwaka huu yanaongozwa na kauli mbiu “Matokeo Mkubwa Sasa, Tuchague Viongozi Bora kwa Maendeleo ya Kilimo na Ufugaji”. (Picha na Eleuteri Mangi- MAELEZO, Lindi)



















No comments:
Post a Comment