TANGAZO

Sunday, August 2, 2015

Gulio la Vodacom kufikia tamati kesho

Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania Jessam Jeremia akiwapa maelekezo baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam  waliofika kwenye gurio la “Vodacom expo”  lilioandaliwa na kampuni hiyo kwa ajili ya kuwauzia bidhaa mbalimbali za mawasiliano kwa bei nafuu.Gulio hilo lililofanyika kwa siku mbili mfululizo katika viwanja vya Kijitonyama jijini Dar es Salaam. 
Baadhi ya wakazi wa jijini Dar es Salaam waliofika kwenye viwanja vya Kijitonyama  kwenye gulio la Vodacom Expo wakionyeshwa baadhi ya simu  na wafanyakazi wa Vodacom Tanzania ambazo zinauzwa kwa bei nafuu zaidi, Gulio hilo limeandaliwa na Vodacom Tanzania kwa siku mbili mfululizo kwa ajili ya kuwauzia  wakazi wa jiji. 
Baadhi ya wakazi wa jijini Dar es Salaam wakinunua bidhaa mbalimbali za mawasiliano kwa bei nafuu kwenye viwanja vya Posta Kijitonyama wakati wa Gulio  la Vodacom Expo  lililofanyika kwa siku mbili mfululizo. 

Meneja bidhaa wa Vodacom Tanzania, Liginiku Milinga akifanyiwa mahojiano na baadhi ya waandishi wa habari waliofika katika Gulio (Vodacom Expo) lililoandaliwa na kampuni hiyo kwa ajili ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam kununua bidhaa mbalimbali za mawasiliano kwa bei nafuu  na kufanyika kwa siku mbili mfululizo katika viwanja vya Posta kijitonyama jijini.

No comments:

Post a Comment