TANGAZO


Saturday, August 22, 2015

Breaking News: Waziri Mkuu mstaafu Fredrick Sumaye aondoka CCM, ajiunga Ukawa

Waziri Mkuu mstaafu, Fredreck Sumaye (kushoto), akizungumza na wanahabari wakati akitangaza kujiunga na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) leo mchana jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu mstaafu, Fredreck Sumaye (kulia), akipeana mkono na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, mara baada ya kutangaza kuachana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Ukawa, jijini Dar es Salaam leo mchana. Anayeshuhudia katikati ni Mgombea urais wa Tanzania kupitia chama hicho, Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa.
 Sumaye akisisitiza jambo.
Sumaye (wa tatu kulia), akiwa na viongozi wanaunda Umoja wa Katiba (Ukawa) baada ya kuondoka CCM na kujiunga na umoja huo leo jijini Dar es Salaam. (Imeandaliwa na Dotto Mwaibale)

No comments:

Post a Comment