Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya CBA, wakifanya mazoezi ya viungo wakati wa bonanza la Family Day, lililofanyika kwenye fukwe za Bahari ya Hindi, Bagamoyo, mkoani Pwani jana.
Wafanyakazi wa Benki ya CBA, wakifanya mazoezi ya viungo wakati wa bonanza la Family Day, lililofanyika kwenye fukwe za Bahari ya Hindi, Bagamoyo, mkoani Pwani jana.
Watoto wa wafanyakazi wa Benki ya CBA, wakishindana kukimbia wakati wa maadhimisho ya siku ya familia (Family Day), kwenye fukwe za Bahari ya Hindi, Bagamoyo, mkoani Pwani jana.
Watoto wa wafanyakazi wa Benki ya CBA, wakishindana kukimbia wakati wa maadhimisho ya siku ya familia (Family Day), kwenye fukwe za Bahari ya Hindi, Bagamoyo, mkoani Pwani jana.
Baadhi ya wafanyakazi wanawake wa Benki ya CBA, wakishindana kukimbia wakati wakiadhimisha siku ya familia (family Day), kwenye fukwe za Bahari ya Hindi, Bagamoyo, mkoani Pwani jana.
Baadhi ya wafanyakazi wanaume wa Benki ya CBA, wakishindana kukimbia wakati wakiadhimisha siku ya familia (family Day), kwenye fukwe za Bahari ya Hindi, Bagamoyo, mkoani Pwani jana.
Wafanyakazi wanawake wa Benki ya CBA, wakishindana kukimbia mbio za magunia, wakati wakiadhimisha siku ya familia (family Day), kwenye fukwe za Bahari ya Hindi, Bagamoyo, mkoani Pwani jana.
Wafanyakazi wa Benki ya CBA, wakishindana kuvuta kamba wakati wakiadhimisha siku ya familia (family Day), kwenye fukwe za Bahari ya Hindi, Bagamoyo, mkoani Pwani jana.
Timu ya 'Green' ya wafanyakazi wa Benki ya CBA, wakishindana kuvuta kamba na timu ya 'White' wakati wakiadhimisha siku ya familia (family Day), kwenye fukwe za Bahari ya Hindi, Bagamoyo, mkoani Pwani jana.
Timu ya 'White' ya wafanyakazi wa Benki ya CBA, wakishindana kuvuta kamba na timu ya 'Green', wakati wakiadhimisha siku ya familia (family Day), kwenye fukwe za Bahari ya Hindi, Bagamoyo, mkoani Pwani jana.
Timu ya 'White' ikishangilia baadhi ya kuishinda timu ya 'Green' katika bonanza la wafanyakazi wa Benki ya CBA, kuadhimisha siku ya familia (family Day), kwenye fukwe za Bahari ya Hindi, Bagamoyo, mkoani Pwani jana.
No comments:
Post a Comment