Mlezi wa Chama cha Skauti Tanzania, Rais Jakaya Kikwete, akiingia kwenye ukumbi wa Karimjee, wakati alipokwenda kuufungua Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la chama hicho, Dar es Salaam jana. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mlezi wa Chama cha Skauti Tanzania, Rais Jakaya Kikwete, akiingia kwenye ukumbi wa Karimjee, wakati alipokwenda kuufungua Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la chama hicho, Dar es Salaam jana.
Vijana wa Skauti, wakiwa wamesimama kumpokea Mlezi wa Chama cha Skauti Tanzania, Rais Jakaya Kikwete, alipokuwa akiingia kwenye ukumbi wa Karimjee, kwa ajili ya kuufungua Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la chama hicho, Dar es Salaam jana.
Skauti wakiwa wamesimama kumpokea Mlezi wa Chama cha Skauti Tanzania, Rais Jakaya Kikwete, alipokuwa akiingia kwenye ukumbi wa Karimjee, kwa ajili ya kuufungua Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la chama hicho, Dar es Salaam jana.
Mlezi wa Chama cha Skauti Tanzania, Rais Jakaya Kikwete (wa pili kulia), akiwa na viongozi wakuu wa chama hicho, Rais, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa (wa pili kushoto) na Kamishna Mkuu, Mbunge, Abdulkarim Shah (kulia) na Waziri Mkuu mstaafu, Dk. Salim Ahmed Salim wakiimba wimbo wa Taifa, wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la chama hicho, Dar es Salaam jana.
Vijana wa Skauti, wakitoa ahadi mbele ya Mlezi wa Chama cha Skauti Tanzania, Rais Jakaya Kikwete, wakati alipofika kwenye ukumbi wa Karimjee, kwa ajili ya kuufungua Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la chama hicho, Dar es Salaam jana.
Skauti, wakitoa ahadi mbele ya Mlezi wa Chama cha Skauti Tanzania, Rais Jakaya Kikwete, wakati alipofika kwenye ukumbi wa Karimjee, kwa ajili ya kuufungua Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la chama hicho, Dar es Salaam jana.
Vijana wa Skauti, wakitoa ahadi mbele ya Mlezi wa Chama cha Skauti Tanzania, Rais Jakaya Kikwete, wakati alipofika kwenye ukumbi wa Karimjee, kwa ajili ya kuufungua Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la chama hicho, Dar es Salaam jana.
Kamishna Mkuu, Mbunge, Abdulkarim Shah, akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo wa Baraza Kuu la chama hicho, Dar es Salaam jana.
Vijana wa Skauti, wakisikiliza hotuba mbalimbali zilizokuwa zikitolewa katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la chama hicho, Dar es Salaam jana.
Vijana wa Skauti, wakisikiliza hotuba mbalimbali zilizokuwa zikitolewa katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la chama hicho, Dar es Salaam jana.
Mlezi wa Chama cha Skauti Tanzania, Rais Jakaya Kikwete (kushoto), akiteta jambo na Kamishna Mkuu, Abdulkarim Shah wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la chama hicho, Dar es Salaam jana.
Rais wa Chama cha Skauti Tanzania, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa, akizungumza, wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la chama hicho,kabla ya kumkaribisha Mlezi wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete kuufungua rasmi Dar es Salaam jana.

Mlezi wa Chama cha Skauti Tanzania, Rais Jakaya Kikwete (kushoto), akizungumza wakati alipokuwa akiufungua Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la chama hicho, Dar es Salaam jana.
Mlezi wa Chama cha Skauti Tanzania, Rais Jakaya Kikwete, akizungumza wakati akiufungua Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la chama hicho, Dar es Salaam jana.
Mlezi wa Chama cha Skauti Tanzania, Rais Jakaya Kikwete, akizungumza wakati alipokuwa akiufungua Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la chama hicho, Dar es Salaam jana.
Mlezi wa Chama cha Skauti Tanzania, Rais Jakaya Kikwete (kushoto), akizungumza wakati akiufungua Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la chama hicho, Dar es Salaam jana.
Mlezi wa Chama cha Skauti Tanzania, Rais Jakaya Kikwete (kushoto), akizungumza wakati alipokuwa akiufungua Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la chama hicho, Dar es Salaam jana.
Waziri Mkuu mstaafu, Dk. Salim Ahmed Salim, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la chama hicho, Dar es Salaam jana.
Waziri Mkuu mstaafu, Dk. Salim Ahmed Salim, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la chama hicho, Dar es Salaam jana.
Taarifa njema kwa maskauti wote nchini, naomba ushare ni mimi picha nyengine tafadhali kupitia murtadhwa@hotmail.com
ReplyDeletetsayouthforum@gmail.com
Ntashukuru kupokea taarifa hii na picha nyingine kuptia email.
Asante