TANGAZO


Sunday, July 12, 2015

Dkt. Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM

Matukio mbalimbali wakati wa kutangazwa John Magufuli kuwa mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), mjini Dodoma leo.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiiongoza meza kuu kushangilia, wakati wa kutangazwa mgombea wa nafasi ya Urais wa chama hicho, Dkt. John Pombe Magufuli, Mjini Dodoma. Dkt. Magufuli leo. 
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM, wakiwa katika hafla ya kutangazwa mgombea huo wa chama hicho. 
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM, wakiwa katika hafla ya kutangazwa mgombea huo wa chama hicho. 
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia moja ya magazeti, wakati wa kutangazwa mgombea wa nafasi ya Urais wa chama hicho, Dkt. John Pombe Magufuli, Mjini Dodoma. Dkt. Magufuli leo.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Dkt. John Pombe Magufuli, baada ya kutangazwa kuwa Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, katika uchaguzi uliofanyika Jana Julai 11, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa CCM (Dodoma Convition Centre), uliopo Mjini Dodoma. Dkt. Magufuli ameibuka mshindi kwa jumla ya kura 2104, wakati wapinzani wake, Balozi Amina Salun Ali akipata kura 253 na Dkt. Asha-Rose Migiro akipata kura 59.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Dkt. John Pombe Magufuli, baada ya kutangazwa kuwa Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, katika uchaguzi uliofanyika Jana Julai 11, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa CCM (Dodoma Convition Centre), uliopo Mjini Dodoma. Dkt. Magufuli ameibuka mshindi kwa jumla ya kura 2104, wakati wapinzani wake, Balozi Amina Salun Ali akipata kura 253 na Dkt. Asha-Rose Migiro akipata kura 59. 
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Dkt. John Pombe Magufuli, baada ya kutangazwa kuwa Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, katika uchaguzi uliofanyika Jana Julai 11, 2015 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa CCM (Dodoma Convition Centre), uliopo Mjini Dodoma. Dkt. Magufuli ameibuka mshindi kwa jumla ya kura 2104, wakati wapinzani wake, Balozi Amina Salun Ali akipata kura 253 na Dkt. Asha-Rose Migiro akipata kura 59. (Picha na Ikulu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akitoa taarifa ya utendaji wa Serikali, wakati wa Mkuutano Mkuu huo.
Spika wa Bunge, Anne Makinda akiuhutubia mkutano huo. 
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete (kulia), akiteta jambo na Makamu wake, wa Zanzibar, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, ambaye aliidhinishwa na Mkutano Mkuu na kutangazwa kuwa mgombea wa nafasi ya Urais visiwani humo leo. Kushoto ni Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal. 
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Dkt. John Pombe Magufuli, baada ya kutangazwa kuwa Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM. 
Mmoja wa waliokuwa wagombea wa nafasi ya Urais kupitia CCM, Balozi Amina Salim Ali, akiwa katika mkutano huo leo. 
Mke wa mgombea wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli, Janeth Magufuli (kulia), akiteta jambo na mke wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Tunu Pinda, wakati wa kutolewa matokeo na kutangazwa kuwa mgombea wa chama hicho, mjini Dodoma leo. (Picha zote na John Banda) 
Spika wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho (kulia), akimpongeza mgombe wa nafasi ya Urais wa CCM, John Magufuli baada ya kutangazwa rasmi, mjini Dodoma leo.  
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Dkt. John Pombe Magufuli, baada ya kutangazwa kuwa Mgombea wa nafasi ya Urais wa CCM leo.
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Zanzibar, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, akimpongeza mmoja wa waliokuwa wagombea wa nafasi ya kukiwakilisha Chama hicho, Dk. Asha-Rose Migiro, mara baada ya kuuhutubia mkutano huo.
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli, akihutubia wajumbe wa Mkutano Mkuu wa chama hicho, mara baada ya kutangazwa kuwa mgombea rasmi, mjini Dodoma leo. 
Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete akihutubia mkutano huo. 
Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete (katikati), akiwanyanyua mikono mgombea wa nafasi ya Urais wa chama hicho, John Magufuli na mgombea mwenza, Samia Suluhu Hassan wakati wa kutangazwa wagombea hao. 
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete (wa pili kushoto), akimpongeza Mgombea Mwenza wa chama hicho, Samia Suluhu Hassan, mara baada ya kutangazwa na mgombea mteule wa CCM, John Magufuli (kushoto), mara baada ya kutangazwa kuwa mgombea wa nafasi ya Urais, mjini Dodoma leo. 

No comments:

Post a Comment