TANGAZO


Sunday, April 19, 2015

Yanga yalazimishwa sare 1-1 nyumbani na Etoile Du Sahel ya Tunisia Kombe la Shirikisho Barani Afrika

Mashabiki wa Yanga, wakifuatilia mchezo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho barani Afrika, kati ya timu hiyo na Etoile Du Sahel ya Tunisia uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana.Timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Ubao wa matokeo, ukionesha Yanga bao 1 na Etoile Du Sahel ya Tunisia 0.
Haruna Niyonzima wa Yanga, akimtoka Boughattas Zied wa 
Etoile Du Sahel ya Tunisia.
Bedoui Rami wa Etoile Du Sahel ya Tunisia, akimtoka Mrisho Ngassa wa Yanga, wakati wa mchezo huo, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana.
 Mrisho Ngassa wa Yanga, akidondoka baada ya kuzidiwa nguvu na Bedoui Rami wa Etoile Du Sahel ya Tunisia, wakati wa mchezo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho barani Afrika baina ya timu hizo, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana. Timu hizo zilitoka sare kwa kufungana bao 1-1.
Mashabiki wa Simba na wa Etoile Du Sahel ya Tunisia, wakifuatilia mchezo huo, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana.
Wachezaji wa Etoile Du Sahel ya Tunisia, wakishangilia bao la kusawazisha wakati wa mchezo huo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana.
Mashabiki wa Etoile Du Sahel ya Tunisia, wakiwasha fataki baada ya timu yao kusawazisha bao dhidi ya Yanga ya Tanzania  
Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana.
Ubao wa matangazo ukionesha Yanga bao 1 na Etoile Du Sahel ya Tunisia 1 baada ya kusawazisha katika mchezo huo.
Mashabiki wa Etoile Du Sahel ya Tunisia, wakiwasha fataki baada ya timu yao kusawazisha bao dhidi ya Yanga ya Tanzania  
Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana.
Juma Abdul wa Yanga akimtoka Jemal Ammar wa Etoile Du Sahel ya Tunisia wakati wa mchezo huo, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana.
Simon Msuva wa Yanga, akimtoka Boughattas Zied wa Etoile Du Sahel ya Tunisia.
Simon Msuva wa Yanga, akiutuliza mpira kwa kichwa huku akifuatwa na Jemal Ammar (katikati) na Boughattas Zied wa Etoile Du Sahel ya Tunisia.
Simon Msuva wa Yanga, akimtoka Boughattas Zied wa Etoile Du Sahel ya Tunisia.
Amisi Tambwe wa Yanga, akijaribu kumpiga chenga Boughattas Zied wa Etoile Du Sahel ya Tunisia.
Juma Abdul wa Yanga, akiruka kwanja, wakati Jemal Ammar wa Etoile Du Sahel ya Tunisia, akiondoa mpira katika mchezo wa kwanza wa kombe la Shirikisho barani Afrika, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana. Katikati ni Tej Marouen wa Etoile, akiwa tayari kusaidia. Timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1.
Juma Abdul akiruka kwanja wakati akiuondoa mpira miguuni mwa  mchezaji wa Etoile Du Sahel.
Juma Abdul akijaribu kuundoa mpira miguuni mwa  mchezaji wa Etoile Du Sahel.
Mpira ukiingia golini ulipigwa Kpah Alshyma wa Yanga.
Ngassa akilalamikia bao hilo kwamba lilikuwa ni bao sahihi.
Mpaka mwisho wa mchezo huo matokeo yalikuwa ni Yanga bao1 na Etoile Du Sahel bao 1.

No comments:

Post a Comment